Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 53:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Alidhulumiwa na kuteswa,lakini alivumilia kwa unyenyekevu,bila kutoa sauti hata kidogo.Alikuwa kama mwanakondoo apelekwaye machinjoni,kama kondoo akaavyo kimya anapokatwa manyoya.Hakutoa sauti hata kidogo.

Kusoma sura kamili Isaya 53

Mtazamo Isaya 53:7 katika mazingira