Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 53:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini alijeruhiwa kwa sababu ya dhambi zetu,aliumizwa kwa sababu ya maovu yetu.Kwa kuadhibiwa kwake sisi tumepata uhai;kwa kupigwa kwake sisi tumepona.

Kusoma sura kamili Isaya 53

Mtazamo Isaya 53:5 katika mazingira