Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 50:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Nani kati yenu amchaye Mwenyezi-Mungu?Nani anayetii maneno ya mtumishi wake?Kama yupo atembeaye gizani bila taa,amtumainie Mwenyezi-Mungu,na kumtegemea Mungu wake.

Kusoma sura kamili Isaya 50

Mtazamo Isaya 50:10 katika mazingira