Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 49:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini Mwenyezi-Mungu asema:“Je, mama aweza kumsahau mwanawe anayenyonya,asimwonee huruma mtoto wa tumbo lake?Hata kama mama aweza kumsahau mwanawe,mimi kamwe sitakusahau.

Kusoma sura kamili Isaya 49

Mtazamo Isaya 49:15 katika mazingira