Nyinyi mnaona fahari kujiita watu wa mji mtakatifu,na kujidai kumtegemea Mungu wa Israeli,ambaye jina lake ni Mwenyezi-Mungu wa majeshi.