Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 48:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Njoni karibu nami msikie jambo hili:Tangu mwanzo mimi sikusema kwa siri,tangu mambo hayo yaanze kutendeka, nimekuwapo.”Sasa, Bwana Mungu amenituma,na kunipa nguvu ya roho yake.

Kusoma sura kamili Isaya 48

Mtazamo Isaya 48:16 katika mazingira