Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 47:8 Biblia Habari Njema (BHN)

“Sasa, basi, sikiliza ewe mpenda anasa,wewe unayedhani kuwa u salama,na kujisemea: ‘Ni mimi tu,na hakuna mwingine isipokuwa mimi.Kamwe sitakuwa mjane,wala sitafiwa na wanangu.’

Kusoma sura kamili Isaya 47

Mtazamo Isaya 47:8 katika mazingira