Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 45:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Utajiri wa Misri na bidhaa za Kushi,pamoja na za watu wa Seba, majitu marefu,zitakuja kwako mwenyewe wewe taifa la Israeli,zote zitakuwa mali yako.Watu hao watakutumikia wamefungwa minyororo;watakusujudia na kukiri wakisema:‘Kwako kuna Mungu wa kweli,wala hakuna Mungu mwingine ila yeye.’”

Kusoma sura kamili Isaya 45

Mtazamo Isaya 45:14 katika mazingira