Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 45:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Ni mimi niliyeifanya dunia,na kuumba binadamu aishiye humo.Mikono yangu ndiyo iliyozitandaza mbingu,na jeshi lote la nyota liko kwa amri yangu.

Kusoma sura kamili Isaya 45

Mtazamo Isaya 45:12 katika mazingira