Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 44:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Imbeni kwa furaha enyi mbingu,kwa sababu ya hayo aliyotenda Mwenyezi-Mungu.Pazeni sauti enyi vilindi vya dunia!Imbeni kwa furaha enyi milima!Enyi misitu na miti yote iliyomo, imbeni.Maana Mwenyezi-Mungu amewakomboa wazawa wa Yakobo,naye atatukuka katika nchi ya Israeli.

Kusoma sura kamili Isaya 44

Mtazamo Isaya 44:23 katika mazingira