Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 42:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini hawa ni watu walioibiwa mali na kuporwa!Wote wamenaswa mashimoni,wamefungwa gerezani.Wamekuwa kama mawindo bila mtu wa kuwaokoa,wamekuwa nyara na hakuna asemaye, “Waokolewe!”

Kusoma sura kamili Isaya 42

Mtazamo Isaya 42:22 katika mazingira