Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 40:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Semeni na wenyeji wa Yerusalemu kwa upole,waambieni kwamba utumwa wao umekwisha,wamesamehewa uovu wao.Mwenyezi-Mungu amewaadhibu maradufukwa sababu ya dhambi zao zote.”

Kusoma sura kamili Isaya 40

Mtazamo Isaya 40:2 katika mazingira