humo hakutakuwa na simba,mnyama yeyote mkali hatapitia humo,hao hawatapatikana humo.Lakini waliokombolewa ndio watakaopita humo.