Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 35:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Litachanua maua kwa wingi kama waridi,litashangilia na kuimba kwa furaha.Mungu atalijalia fahari ya milima ya Lebanoni,uzuri wa mlima Karmeli na wa bonde la Sharoni.Watu watauona utukufu wa Mwenyezi-Mungu,watauona ukuu wa Mungu wetu.

Kusoma sura kamili Isaya 35

Mtazamo Isaya 35:2 katika mazingira