Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 34:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Jeshi lote la angani litaharibika,anga zitakunjamana kama karatasi.Jeshi lake lote litanyauka,kama majani ya mzabibu yanyaukavyo,naam, kama tunda la mtini linyaukavyo.

Kusoma sura kamili Isaya 34

Mtazamo Isaya 34:4 katika mazingira