Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 31:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Ole wao wale waendao Misri kuomba msaada,ole wao wanaotegemea farasi,wanaotegemea wingi wa magari yao ya vita,na nguvu za askari wao wapandafarasi,nao hawamtegemei Mtakatifu wa Israeli,wala hawamwombi Mwenyezi-Mungu shauri!

Kusoma sura kamili Isaya 31

Mtazamo Isaya 31:1 katika mazingira