Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 30:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Kauli ya Mungu juu ya wanyama wa pande za Negebu:“Wajumbe wanapita katika nchi ya taabu na shida,yenye simba, nyoka wa sumu na majoka.Wamewabebesha wanyama wao mali zao,kuwapelekea watu wasioweza kuwafaa kitu.

Kusoma sura kamili Isaya 30

Mtazamo Isaya 30:6 katika mazingira