Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 23:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Kauli ya Mungu dhidi ya Tiro.Ombolezeni, enyi mabaharia wa mbali baharini,maana Tiro mji wenu umeharibiwa,humo hamna tena makao wala bandari.Mtazipokea habari hizo mtakaporejea kutoka Kupro.

Kusoma sura kamili Isaya 23

Mtazamo Isaya 23:1 katika mazingira