Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 2:3 Biblia Habari Njema (BHN)

watu wengi wataujia na kusema,“Njoni tupande mlima wa Mwenyezi-Mungu,twende nyumbani kwa Mungu wa Yakobo,apate kutufundisha njia zake,nasi tuishi kadiri ya mwongozo wake.Maana sheria itakuja kutoka Siyoni;neno la Mwenyezi-Mungu kutoka Yerusalemu.”

Kusoma sura kamili Isaya 2

Mtazamo Isaya 2:3 katika mazingira