Siku hiyo, watu watawatupia panya na popovinyago vyao vya fedha na dhahabuwalivyojitengenezea ili kuviabudu.