Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 16:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Furaha na shangwe zimetoweka katika shamba la rutuba.Kwenye mizabibu hakuna kuimba tena,wala kupiga vigelegele.Hakuna tena kukamua zabibu shinikizoni,sauti za furaha za mavuno zimekomeshwa.

Kusoma sura kamili Isaya 16

Mtazamo Isaya 16:10 katika mazingira