Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 14:29 Biblia Habari Njema (BHN)

“Msishangilie enyi Wafilisti wote,kwamba Ashuru, fimbo iliyowapiga, imevunjika;maana, nyoka wa kawaida atazaa nyoka mwenye sumu,na nyoka mwenye sumu atazaa joka lirukalo.

Kusoma sura kamili Isaya 14

Mtazamo Isaya 14:29 katika mazingira