Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 10:24 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo, Bwana Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi: “Enyi watu wangu mnaokaa Siyoni msiwaogope Waashuru ambao wanawapiga kwa fimbo, wakiinua mikongojo yao dhidi yenu kama walivyofanya Wamisri.

Kusoma sura kamili Isaya 10

Mtazamo Isaya 10:24 katika mazingira