Agano la Kale

Agano Jipya

Hesabu 35:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Miji hii itakuwa ya makimbilio kwa ajili ya Waisraeli na wageni wa kudumu au wa muda wanaokaa pamoja nao. Mtu yeyote akimuua mwingine bila kukusudia anaweza kukimbilia huko.

Kusoma sura kamili Hesabu 35

Mtazamo Hesabu 35:15 katika mazingira