Agano la Kale

Agano Jipya

Hesabu 23:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, Balaamu akarudi, akamkuta Balaki amesimama karibu na sadaka ya kuteketezwa pamoja na maofisa wote wa Moabu. Balaki akamwuliza, “Mwenyezi-Mungu amekuambia nini?”

Kusoma sura kamili Hesabu 23

Mtazamo Hesabu 23:17 katika mazingira