Agano la Kale

Agano Jipya

Hesabu 22:34 Biblia Habari Njema (BHN)

Balaamu akamwambia malaika wa Mwenyezi-Mungu “Nimetenda dhambi maana sikujua kwamba umesimama njiani kunizuia. Sasa, kama haikupendezi niendelee na safari hii, basi nitarudi nyumbani.”

Kusoma sura kamili Hesabu 22

Mtazamo Hesabu 22:34 katika mazingira