Agano la Kale

Agano Jipya

Hesabu 22:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, asubuhi yake Balaamu aliamka, akawaambia maofisa wa Balaki, “Rudini nchini mwenu, kwa maana Mwenyezi-Mungu hapendi kuniruhusu kwenda pamoja nanyi.”

Kusoma sura kamili Hesabu 22

Mtazamo Hesabu 22:13 katika mazingira