Agano la Kale

Agano Jipya

Hesabu 21:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, watu wakamwendea Mose, wakamwambia, “Tumetenda dhambi kwa kumnungunikia Mwenyezi-Mungu na wewe pia. Mwombe Mwenyezi-Mungu atuondolee nyoka hawa.” Kwa hiyo, Mose akawaombea watu.

Kusoma sura kamili Hesabu 21

Mtazamo Hesabu 21:7 katika mazingira