Agano la Kale

Agano Jipya

Hesabu 18:26 Biblia Habari Njema (BHN)

“Tena utawaambia Walawi maagizo yafuatayo: Wakati mtakapopokea zaka ambayo Mwenyezi-Mungu amewapa kutoka kwa Waisraeli iwe urithi wenu, mtanitolea mimi Mwenyezi-Mungu sehemu moja ya kumi ya zaka hiyo.

Kusoma sura kamili Hesabu 18

Mtazamo Hesabu 18:26 katika mazingira