Agano la Kale

Agano Jipya

Hesabu 13:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Walikwenda hadi Negebu wakapita mpaka mji wa Hebroni. Humo waliwakuta Waahimani, Washeshai na Watalmai, wazawa wa Anaki. (Mji wa Hebroni ulikuwa umejengwa miaka saba kabla ya mji wa Soani ulioko nchini Misri).

Kusoma sura kamili Hesabu 13

Mtazamo Hesabu 13:22 katika mazingira