Agano la Kale

Agano Jipya

Hesabu 10:33 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, watu wakasafiri toka Sinai, Mlima wa Mwenyezi-Mungu, mwendo wa siku tatu. Sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu liliwatangulia mwendo wa siku tatu, ili kuwatafutia mahali pa kupiga kambi.

Kusoma sura kamili Hesabu 10

Mtazamo Hesabu 10:33 katika mazingira