Agano la Kale

Agano Jipya

Hagai 1:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Siku ya kwanza ya mwezi wa sita mwaka wa pili wa utawala wa mfalme Dario wa Persia, Mwenyezi-Mungu alimpa Hagai ujumbe aupeleke kwa Zerubabeli mwana wa Shealtieli, mkuu wa Yuda, na kuhani mkuu Yoshua mwana wa Yehosadaki.

Kusoma sura kamili Hagai 1

Mtazamo Hagai 1:1 katika mazingira