Agano la Kale

Agano Jipya

Ezra 8:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Nikawatuma kwa Ido, kiongozi wa jamii ya watu kule Kasifia, nikimwomba yeye pamoja na wenzake wahudumu wa nyumba ya Mungu, watuletee watu watakaohudumu katika nyumba ya Mungu.

Kusoma sura kamili Ezra 8

Mtazamo Ezra 8:17 katika mazingira