Agano la Kale

Agano Jipya

Ezra 2:44-56 Biblia Habari Njema (BHN)

44. ukoo wa Kerosi, wa Siaha, wa Padoni,

45. ukoo wa Lebana, wa Hagaba, wa Akubu,

46. ukoo wa Hagabu, wa Shamlai, wa Hanani,

47. ukoo wa Gideli, wa Gahari, wa Reaya,

48. ukoo wa Resini, wa Nekoda, wa Gazamu,

49. ukoo wa Uza, wa Pasea, wa Besai,

50. ukoo wa Asna, wa Meunimu, wa Nefisimu,

51. ukoo wa Bakbuki, wa Hakufa, wa Harhuri,

52. ukoo wa Basluthi, wa Mehida, wa Harsha,

53. ukoo wa Barkosi, wa Sisera, wa Tema,

54. ukoo wa Nezia na wa Hatifa.

55. Koo za wazawa wa watumishi wa Solomoni waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa, ukoo wa Sotai, wa Hasoferethi, wa Perudha,

56. ukoo wa Yaala, wa Darkoni, wa Gideli,

Kusoma sura kamili Ezra 2