Agano la Kale

Agano Jipya

Ezra 2:43-46 Biblia Habari Njema (BHN)

43. Koo za watumishi wa hekalu waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa: Ukoo wa Siha, wa Hasufa, wa Tabaothi,

44. ukoo wa Kerosi, wa Siaha, wa Padoni,

45. ukoo wa Lebana, wa Hagaba, wa Akubu,

46. ukoo wa Hagabu, wa Shamlai, wa Hanani,

Kusoma sura kamili Ezra 2