Agano la Kale

Agano Jipya

Ezra 2:36-42 Biblia Habari Njema (BHN)

36. Ifuatayo ni idadi ya makuhani waliorudi kutoka uhamishoni: Makuhani wa ukoo wa Yedaya, waliokuwa wazawa wa Yeshua: 673;

37. wa ukoo wa Imeri: 1,052;

38. wa ukoo wa Pashuri: 1,247;

39. wa ukoo wa Harimu: 1,017.

40. Walawi wa ukoo wa Yeshua na wa Kadmieli, wazawa wa Hodavia waliorudi kutoka uhamishoni walikuwa 74.

41. Waimbaji (wazawa wa Asafu), walikuwa 128.

42. Walinzi (wazawa wa Shalumu, wa Ateri, wa Talmoni, wa Akubu, wa Hatita na wa Shobai), walikuwa 139.

Kusoma sura kamili Ezra 2