Agano la Kale

Agano Jipya

Ezra 2:31-40 Biblia Habari Njema (BHN)

31. wa mji wa Elamu wa pili: 1,254;

32. wa mji wa Harimu: 320;

33. wa mji wa Lodi, Hadidi na wa Ono: 725;

34. wa mji wa Yeriko: 345;

35. wa mji wa Senaa: 3,630.

36. Ifuatayo ni idadi ya makuhani waliorudi kutoka uhamishoni: Makuhani wa ukoo wa Yedaya, waliokuwa wazawa wa Yeshua: 673;

37. wa ukoo wa Imeri: 1,052;

38. wa ukoo wa Pashuri: 1,247;

39. wa ukoo wa Harimu: 1,017.

40. Walawi wa ukoo wa Yeshua na wa Kadmieli, wazawa wa Hodavia waliorudi kutoka uhamishoni walikuwa 74.

Kusoma sura kamili Ezra 2