3. Wa ukoo wa Paroshi: 2,172;
4. wa ukoo wa Shefatia: 372;
5. wa ukoo wa Ara: 775;
6. wa ukoo wa Pahath-moabu, yaani wazawa wa Yeshua na Yoabu: 2,812;
7. wa ukoo wa Elamu: 1,254;
8. wa ukoo wa Zatu: 945;
9. wa ukoo wa Zakai: 760;
10. wa ukoo wa Bani: 842;
11. wa ukoo wa Bebai: 623;
12. wa ukoo wa Azgadi: 1,222;
13. wa ukoo wa Adonikamu: 666;
14. wa ukoo wa Bigwai: 2,056;
15. wa ukoo wa Adini: 454;