Hapo nitayafanya maji yake yatuliena kuitiririsha mito yake kama mafuta.Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.