Nitaukausha mto Nili na vijito vyake,na kuwauzia watu waovu nchi ya Misri.Nitasababisha uharibifu nchini kotekwa mkono wa watu wageni.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.