Agano la Kale

Agano Jipya

Esta 10:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Mfalme Ahasuero alitoza kodi watu wa bara na pwani.

2. Matendo yake yote makuu na ya ajabu, pamoja na simulizi kamili kuhusu jinsi alivyompandisha cheo Mordekai na kumtunukia heshima kuu, yote yameandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za wafalme wa Media na Persia.

Kusoma sura kamili Esta 10