Agano la Kale

Agano Jipya

Danieli 8:5 Biblia Habari Njema (BHN)

“Nilipokuwa ninawaza juu ya jambo hili, niliona beberu mmoja kutoka upande wa magharibi akija kasi bila kugusa ardhi. Kati ya macho yake alikuwa na pembe moja kubwa sana.

Kusoma sura kamili Danieli 8

Mtazamo Danieli 8:5 katika mazingira