Agano la Kale

Agano Jipya

Danieli 7:11 Biblia Habari Njema (BHN)

“Kutokana na maneno ya kujigamba yaliyokuwa yanasemwa na ile pembe, nikatazama. Nikiwa natazama, huyo mnyama wa nne aliuawa, mwili wake ukaharibiwa na kutolewa uchomwe moto.

Kusoma sura kamili Danieli 7

Mtazamo Danieli 7:11 katika mazingira