Agano la Kale

Agano Jipya

Danieli 6:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Wale wakuu pamoja na maliwali wakatafuta kisingizio cha kumshtaki Danieli kuhusu mambo ya ufalme, lakini hawakuweza kupata sababu ya kumlaumu, wala kosa lolote, kwani Danieli alikuwa mwaminifu. Hakupatikana na kosa, wala hatia yoyote.

Kusoma sura kamili Danieli 6

Mtazamo Danieli 6:4 katika mazingira