Agano la Kale

Agano Jipya

Danieli 6:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Alipofika karibu akamwita Danieli kwa sauti ya huzuni, “Danieli, mtumishi wa Mungu aliye hai! Je, Mungu wako unayemtumikia daima ameweza kukuokoa na simba hawa?”

Kusoma sura kamili Danieli 6

Mtazamo Danieli 6:20 katika mazingira