Agano la Kale

Agano Jipya

Danieli 6:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Ndipo mfalme Dario akatoa amri, naye Danieli akaletwa na kutupwa katika pango la simba. Mfalme akamwambia Danieli, “Mungu wako ambaye unamtumikia daima, na akuokoe.”

Kusoma sura kamili Danieli 6

Mtazamo Danieli 6:16 katika mazingira