Agano la Kale

Agano Jipya

Danieli 6:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakamwambia mfalme, “Yule Danieli aliye mmoja wa mateka kutoka nchi ya Yuda hakuheshimu wewe mfalme wala haitii amri uliyotia sahihi. Yeye anasali mara tatu kila siku.”

Kusoma sura kamili Danieli 6

Mtazamo Danieli 6:13 katika mazingira