Agano la Kale

Agano Jipya

Danieli 5:29-31 Biblia Habari Njema (BHN)

29. Hapo, mfalme Belshaza akaamuru Danieli avishwe mavazi rasmi ya zambarau na mkufu wa dhahabu shingoni. Ikatangazwa kuwa Danieli atashikilia nafasi ya tatu katika ufalme.

30. Usiku huo huo, mfalme Belshaza wa Wakaldayo, aliuawa;

31. naye mfalme Dario, Mmedi, akashika utawala akiwa na umri wa miaka sitini na miwili.

Kusoma sura kamili Danieli 5