Agano la Kale

Agano Jipya

Danieli 3:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Hapo, mfalme Nebukadneza akawaka hasira, sura yake ikabadilika kwa chuki dhidi ya Shadraki, Meshaki na Abednego. Akaamuru mwako wa moto wa tanuri uongezwe mara saba kuliko kawaida yake.

Kusoma sura kamili Danieli 3

Mtazamo Danieli 3:19 katika mazingira