Agano la Kale

Agano Jipya

Danieli 2:48 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha mfalme Nebukadneza akamtunukia Danieli heshima kubwa, akampa zawadi nyingi kubwakubwa, na kumfanya mtawala wa mkoa wote wa Babuloni, na mkuu wa wenye hekima wote wa Babuloni.

Kusoma sura kamili Danieli 2

Mtazamo Danieli 2:48 katika mazingira